Naomba mnipokee

FM

JF-Expert Member
Jul 2, 2009
202
5
Ndugu wana JF, kwa muda sasa nimekuwa nikipitia mtandao huu na kweli nikiri kwamba nimejifunza mengi. Sijaona mahali pengine ambapo kwa nafasi yangu naweza kukutana na watu aina tofauti na kubadilishana mawazo mbalimbali ya kujenga mtu mmoja mmoja, kikundi na taifa kwa ujumla wake isipokuwa JF. Tafadhali naomba mnipokee nijifuzne zaidi kutoka kwenu na panapo majaaliwa nami niweze kutoa mchango wangu kadiri ya uwezo wangu. Mungu ibariki JF, Mungu bariki wanaJF.
 
Back
Top Bottom