Habari zenu wana jamii,,,
Ni mara yangu ya kwanza kujitokeza ku post maoni yangu laikini ngoja niseme tu nione wadau mnalionaje hili.
Wana CCM mtanisamehe though.
Kuna haka kamtindo kameanza...
Hamjambo watu wazuri,
Jina langu ni Bibi Amy na nataka kujufunza na kuzoea juu ya Kiswahili. Nimekuwa nilisome tangu miaka mitatu juu au chini na, tafadhali, semahani kwa makosa mwengu. Asante...
Nimekuwa msomaji hapa for a long time without registration.sasa nimeamua tu kujisajili.Kuna members humu nawafahamu pomoja na kujificha kwao
Tukutane stejini
Jamani wanajamii hodiii....
Nimefuatilia kwa muda mrefu habari na mijadala mbalimbali katika mtandao huu na kunufaika kwa kiasi kikubwa sana. Sasa nimejiunga rasmi.
Hodi tena wanajamii...
Ni nafisi ya kujivunia kwa wasaa huu wa kubadilishana hulka na kujenga mshikamano thabiti. awali ya yote heshima kwenu nyinyi wana jamii. panapomajariwa tutalisongesha gurudumu hili kwa umoja...
Hi ,
As I was going through this forum , I found it sueful and really beneficial for our Tanzania society. Big up for this.One quick question Why cant the leaders of this country...
Life is short. While you are wasting it today, you ill realize you are at the end of it tomorrow. So the earlier you start to treasure your life, the earlier you can enjoy it, Instead of hoping...
Hello the Great thinkers,
I am new by registration but I' ve been following the issues in this forum for the past three years. Big up to you all, together we will make it.
Inkoskazi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.