Habari zenu wana jamii,,,
Ni mara yangu ya kwanza kujitokeza ku post maoni yangu laikini ngoja niseme tu nione wadau mnalionaje hili.
Wana CCM mtanisamehe though.
Kuna haka kamtindo kameanza kama wiki moja hivi imepita, hawa CCM wameanza ku-invade privacy ya watu sasa kwa kutumia sias zao kitu ambacho naona ni upuuzi..
Hivi inakuaje mtu unapokea meseji kwenye simu yako eti tuma meseji kuchangia CCM kwa shilingi 300, we kwanza unajuaje kama mi naipenda CCM au la na kwa nini unitumie meseji za namna hiyo wakati sijaziomba, kwani haitoshi mlivyotangaza radioni kwamba mnahitaji kuchangiwa?
Na nyie Tigo hivi inakuaje mnatutumia hizo meseji? wengine tunasubiria meseji za maana za dili, meseji inaingia eti CHANGIA CCM hivi zimo zote kweli kwenye vichwa vyenu??? mimi kununua simu ni kwa matumizi yangu na watu wangu na sio siasa..... kujiunga na kampuni yenu imekua nongwa???
ni kweli tanzania tunajitahidi kwenye sekta ya mawasiliano lakini naona kama MAKAMPUNI YA SIMU yanakwenda Mbali kuingilia uhuru wetu...
wadau mnalionaje