Nimekuwa msomaji hapa for a long time without registration.sasa nimeamua tu kujisajili.Kuna members humu nawafahamu pomoja na kujificha kwao
Tukutane stejini

I hope hujajiunga ili ukabiliane nao hao unaowajua ila umejiunga ili kujenga JF kwa hoja za msingi, Karibu.
AK 47 wish u had seen wat he did yesterday.....
ungetambua moja kwa moja kilichomleta
Bht alifanya nini huyu?AK 47 wish u had seen wat he did yesterday.....
ungetambua moja kwa moja kilichomleta
Amefenya nini mamushka? Najisikia kama natamani kumtusi vile...
Anyaway naona kashaingia Segerea.:angry::angry:
Bht alifanya nini huyu?
Iam un-aware..ni thread gani alikuja nayo, embu iweke hewani!
Wakulu wameifunga biggy
huyu angetuponza wengi tuishie segerea jana......
uuh afadhali......akwende zake huko