Amkeni tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Amkeni tanzania

Discussion in 'Utambulisho (Member Intro Forum)' started by JUANITA, Apr 11, 2010.

 1. J

  JUANITA Member

  #1
  Apr 11, 2010
  Joined: Mar 27, 2010
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dear Jamii Forumers,

  I hope nyote hamjambo. Napenda kujitambulisha kama ifuatavyo:

  JINA (Katika JF): JUANITA
  UMRI: ADULT
  JINSIA: MWANAUME
  URAIA: MTANZANIA
  FAMILIA: NDOA (MKE MMOJA, MWANA MMOJA)
  KABILA/DINI: MUASIA/MKRISTO
  ELIMU: KIDATO IV, MAFUNZO/KOZI NYINGINEZO NYINGI
  KAZI: MAMBO YA USAFIRI WA ANGA/BIASHARA/USHAURI (NIMEJIAJIRI)
  MAKAZI: DAR ES SALAAM
  NAPENDA: KUSOMA, KUTAFAKARI, KUBADILISHANA MAWAZO, KUFUATILIA MATUKIO
  LUGHA: KISWAHILI + KIINGEREZA (KUONGEA, KUSOMA + KUANDIKA FASAHA),
  KIHINDI - GUJARATI (KUONGEA PEKEE)

  NA HIVYO NATARAJIA KUONA, KUJIFUNZA NA KUSHIRIKIANA NANYI SANA, NAMI NITATOA NILICHONACHO PALE NITAKAPOONA INABIDI.

  KWA LEO, SIKU NJEMA, WIKIENDI NJEMA.

  MJAZE AKIBA MAJUMBANI, KAMA MGOMO UTAKUWEPO....... BORA TAHADHARI.

  WASALAAM

  JUANITA
   
 2. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #2
  Apr 11, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  yule misun chakraboti yuko hai? deh deh deh.
  karib sana bana,naitwa klorokwini , mimi ni miongoni mwa macelebrity kumi bora wa hapa JF.
   
 3. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #3
  Apr 11, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  kwanza wewe umefumukia chimbo gani?....watu tumekumiss mpaka tumekumisplace
   
 4. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #4
  Apr 11, 2010
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Sasa mwanaume na Juanita wapi na wapi! Labda kwa kuwa ni JF basi si kitu.
   
 5. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #5
  Apr 11, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  deh deh deh, balaa, nimepokea PM za kwamba nimefariki , sasa kaburini nitapokeaje PM bana? JF bana.(new member sore ofu topik)
   
 6. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #6
  Apr 11, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  ha ha ha karibu sana ila usiwe unapotea hivyo....mweee...tukajua umetutoka ndugu (lol)
   
 7. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #7
  Apr 11, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  deh deh deh, waifu tu bii anayo pasiwedi bana, nikifa ataweka tangazo mnichangie.hako ka avatar kako kapya kanaongeza bladi presha kweli.
  beki to ze topik:KARIB TENA JUANITA
   
 8. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #8
  Apr 11, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  he he tumkaribishe mgeni kwanza...........karibu mgeni kunako jamvi
   
 9. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #9
  Apr 12, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  asante kwa full profile yako karibu sana
   
 10. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #10
  Apr 12, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Klorokwini nimefurahi kukuona nitaanza kucheka sasa
   
 11. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #11
  Apr 12, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  heheheeh mke wa prezidaa bana! nimeanza vi klasi vya evining bana ,nataka kwenda Big Broza, najiandaa nisije nikachemsha lugha ya mkoloni kwenye luninga heheeh Niko bizee kuliko bodigadi wa obama .
  beki to ze topik: jiskie upo ikulu juanita.
   
 12. bht

  bht JF-Expert Member

  #12
  Apr 12, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  msema kweli mpenzi wa Mungu!! nimefungua hii thread baada ya kuona Klorokwini amepost

  dah best its been looooooong ile mbaya

  karibu yakhe nakumbuka siku ya mwisho ulisema unaondoka na ukirudi unaazisha JF yako

  welcome home man!!
   
 13. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #13
  Apr 12, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  hehehe senksi dadaake, una GB ngapi za memori kichwani?bado unakumbuka aisee? hehehehe Kijana nimefulia vibaya hata hela ya cafe sina, ile misheni ya JF yangu imebaunzi! na hii JF mpya bado naonaga makengeza tu heheheeh.
  beki to ze topik: juanita karib sana
   
 14. bht

  bht JF-Expert Member

  #14
  Apr 12, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  usijali Max is here for us nahayo makengeza kesho tu yatanyooka wote ilikuwa hivo tu!!

  dah klorokwini memory yangu hii mzee so far so gud!! naiamini vibaya mno sema tu age nayo ndo inataka kuharibu mambo bana.

  @ JUANITA dah mgeni Karibu nona umetuletea na mwanampotevu wetu
   
 15. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #15
  Apr 12, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  hehehe hiyo kitu inaitwaga age inakera kweli bana, sijui lini hawa wachina watatuleteaga madawa ya kurejesha age nyuma, tunazeeka wizauti kutaka bana!
  hehehe juanita sore bana tunakula maoffu topik kwenye sredi yako.
   
 16. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #16
  Apr 12, 2010
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Mwenzio anamuenzi mkewe...! Asante kwa kuonyesha njia, I shall revenge! Hiyo status ya ndoa ukibadili utujulishe, eeh baba.
   
 17. bht

  bht JF-Expert Member

  #17
  Apr 12, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  hahaaaa ajamani mie lol!!
  this is wat I misd frm you (hope my waifu wako hatamind ikawa tabu ukirudi mahome)

  wachine hebu onesheni makeke basi hapo.....

  JUANITA hata maindo tumeshamkaribisha saa hii yuko na kilauri cha ninihiii...
   
 18. J

  JUANITA Member

  #18
  Apr 16, 2010
  Joined: Mar 27, 2010
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dear All,
  Mliotokea hapo juu, Klorokwini, Babu etc.,

  ASANTENI KUNITAMBUA. BABU NIMEMJIBU PERSONALLY, LAKINI MUMSAIDIE KUTAMBUA KWAMBA MAJINA HAYAFUNGWI NA JINSIA. NILITAKA KUJIITA 3.14 LAKINI NIKASHINDWA, SO NIKACHAGUA JUANITA KIANI, JARIBUNI KUFUMBUA, MTOTO WANGU ATAITWA MWANITA, SASA NIMEWARAHISISHIA!!!

  KLOROKWINI, KWA TAARIFA ZA MWISHO NILIZONAZO, MITHUN CHAKRABORTHY BADO YU HAI NA ANADUNDA. SASA NI MLEZI WA KIPINDI MAARUFU CHA TV HUKO JUMBANI KINAITWA DANCE INDIA DANCE, AMBACHO KINATAFITI/KUTAFUTA TALENT ZA WANENGUAJI CHIPUKIZI. KIPINDI KINA HIGH RATING HUKO.
  HIVI, KWINI NI KIINGEREZA YAANI MALIKIA, SASA WEWE DUME UNAKUWAJE KWINI, NAONA BABU AJIJIBU!!

  WASALAAM KWA SASA

  JUANITA.
   
 19. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #19
  Apr 16, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  deh deh deh .senksi kwa jibu murua, hapo buluu hapo heheeh omba razi kabla pasiwedi yako ya JF sijaipoteza kimiujiza ujiza.
   
Loading...