Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Naitwa Diana lakini mtaani kwetu huku Mburuhati wananiita diana-dabodiff, nafurahi kujiunga hapa.
1 Reactions
90 Replies
11K Views
Nabisha hodi humu ndani nikiomba ukaribisho.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hello the Great thinkers, I am new by registration but I' ve been following the issues in this forum for the past three years. Big up to you all, together we will make it. Inkoskazi.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
ndugu wapendwa, nimefurahi kujiunga nanyi successfully. asanteni
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hodi wenyeji. Nami najiunga huku kwa JF.I hope to gain a lot.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hallow JF mko juu
0 Reactions
2 Replies
967 Views
Nimeamua leo kujiunga hapa jukwaani rasmi badala ya kuchungulia tu kama mgeni. Leo nimeamua kuilegeza ile kamba ya kuku mgeni! Nipokeeni tuchangie pamoja kuelimisha jamii yetu. Mimi ndugu yenu...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hi
Habari wanajamii, Im a new member, hope mtanipokea vizuri, Luv u all.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Hodi wana Jamiiforum naomba mnipokee
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wana JF mimi ni kuku mwenye kamba mguuni, je huku mnatoboa jicho?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nawapa big up kubwa wanajamii forum wote.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
I intend to take part in constructive discussions that will shape the future of our community and hope to gain from constructive criticism.Otherwise I will be open to ideas through PMs and more...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hi JF Members, i have been watching you from a distance but now it is high time for me to join you and make my contribution
0 Reactions
5 Replies
2K Views
I take this opportunity to introduce myself. I think, therefore I am welcomed.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
hodi jamani wakuu nipokeeni katika jamiiforum, navutiwa sana na forum hii, asanteni
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hi
Salamu kwa wote. Tuko pamoja jamvini.
0 Reactions
2 Replies
999 Views
Thats Silvershadow ndani ya nyumba!............. Hamjambo nyote?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
  • Poll Poll
Hi mates naitwa Silvano kutoka Dar es salaam mnaweza kuniita Chichi. Sio mgeni katika forum hii ila sijapost any comment this is ma first time. Niko kwenye site nyingi sana nategemea kupata...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
This is to introduce myself as a new member of this respected Forum in our society. Will be writing to you soon. Cheers!!
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Mimi si mgeni humu jamvini, ila kwa kuwa nimebadili jina, nimeona bora nijitambulishe upya. Kubadili jina ni moja ya maamuzi mazito nilochukua kuhakikisha najirekebisha....Dis is all 4 today Your...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom