Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
tuko pamoja jamani
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Napenda kuwasalimia wote humu ndani, nafikiri nitakaribishwa vizuri tu. Pia vilevile sijachelewa kuingia.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wanajamii ninafuraha kujiunga nanyi
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Salamu zenu wote wa jamvini, napenda kutoa utambulisho kuwa mimi ni Wa mjengoni kule kule zinapozaliwa sheria.Nimekuwa natembelea humu kwa muda mrefu bila kuwa member sasa nadhani nitakuwa karibu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Heshima kwenu wANA jf. Nimekuwa sipo ktk forum yetu hii kwa kipindi cha karibia miaka miwili kwa sababu mbalimbali. Nafurahi kurejea tena na kujiunga nanyi. Asanteni sana.
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Jamani salamaaaaaaa? tuko pamoja.
0 Reactions
1 Replies
802 Views
habari za jioni ndugu zangu! Naombeni mnikaribishe jamvini kw mikono miwili.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hi All! Nice to meet everybody. I glad meet all people.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Member mpya nimeingia, nawasalimia wooote kwa mpigo, amani furaha na mafanikio kwenu nyote. Nawapongeza kwa kazi nzuri ya JF.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu zangu nami nimejiunga nanyi nipate kugema busara zenu. Natanguliza shukrani kwa kunikaribisha.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimeingia Mlenga Shabaha: hasira nilizopata kutoka kwa msanii huyu anayejifikiria ndiyo rais wetu jinsi anavyo-deal na wafanyakazi masikini wa nchi hii imenifanya nijiunge na JF ili niwe natoa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hi, In The Name of Tanzania, I salute you, both honorable members of Jamii Forum. I am Timothy Uggi, with a teaching profession and computer expert at Don Bosco Seminary Mafinga Iringa. Aspiring...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hodi jamvini, nawapongezeni kwa mijadala mbalimbali inayolenga ustawi wa jamii yetu. Pongezi kwa viongozi na wanajamvi wote.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Salaam nyingi ziwafikie wanajimii wote:wave:, Rafiki yangu alipendekeza nijiunge na kwa kuangalia baadhi ya mazungumzo nimeona ni jambo jema kufanya hivyo. Kwa kweli Tanzania tunahitaji kuwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hi guys, I have just registered for the first time though I was reading all your posts, discussions and the like. I expect a warm welcome from you! With regards, Bright.
0 Reactions
1 Replies
862 Views
hi is everybody at home may i come in
0 Reactions
6 Replies
1K Views
:confused3: hello wana jf,nimekuja naombeni maelekezo wangwana,inakuwaje??
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hodi wana jamii!! heshima kwenu wakuu wote, tupo pamoja
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Salama ndugu,,,napenda kujiunga kwenye jamvi tubadilishane mawazo
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Waungwana wanajamii hamjambo? Naomba mnikaribishe rasmi katika kijiji cha great thinkers. Thanks Kewos
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom