Ndani ya JF!!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ndani ya JF!!!!!!

Discussion in 'Utambulisho (Member Intro Forum)' started by KABAZI, Apr 19, 2010.

 1. K

  KABAZI JF-Expert Member

  #1
  Apr 19, 2010
  Joined: Apr 19, 2010
  Messages: 303
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Salamu kwa wote!

  Kwa mara ya kwanza natia timu ndani ya JF tutawasiliana kwa sana tu!
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Apr 19, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  SHERIA NA KANUNI ZA JAMII FORUMS

  Tafadhali jiepushe na mambo yafuatayo:

  1.Kumvunjia heshima, kumkejeli, kumtukana, mjumbe yeyote.

  2. Kuleta katika JAMII FORUMS maelezo yenye maudhui mabaya, au kuweza kuleta maudhi yoyote kwa wajumbe ama kwa wingi wake, ukubwa wake, au mfumo wake.

  3. Kuleta makala au kuendeleza mijadala yenye kuleta ugomvi,uchochezi na yenye muelekeo wa kutengenishana badala ya kuungana miongoni mwa wajumbe wa JAMII FORUMS na Watanzania wote kwa ujumla.

  4. Kuleta maongezi binafsi baina ya mwanachama na mwanachama (waliojisajili) waliyoongea kwa kuaminiana kutoka katika Private Messages (PM) au barua pepe (Emails) na kuyaanika hadharani kwa nia ya kuchafuana.

  5. Kusambaza kwa makusudi au kwa uzembe barua zenye virusi vya kompyuta.

  6. Kutoa maelezo au shutuma dhidi ya mwanachama mwenzako, kiongozi wa au watu wenye hadhi kijamii bila kuwa na ushahidi wa kutosha kwa lengo la kuchafua rekodi safi ya mhusika kijamii.

  7. Ni sharti kwa kila mwanachama kutoa maelezo au mchango wake kwa uwazi na ukweli na kutomuogopa yeyote wala kumpendelea yeyote bali kuweka mbele maslahi ya taifa.

  8. Kila mwanachama yupo huru kutoa maoni yake mradi yaliyotajwa hapo juu yanazingatiwa.Hatua za kinidhamu zinaweza kuchukuliwa dhidi ya yeyote yule atakayeshindwa kuzingatia maelezo hayo hapo juu.

  Other Rules to be noted:
  1 - Flaming, Bashing, and Trolling:Hate posts and personal attacks will not be tolerated on the boards. Treat others on these message boards as you would expect them to treat you. Posting topics specifically designed to provoke a negative response from someone (aka trolling) is also asked to be avoided.

  2 - Profanity:profanity is not tolerated in the board, some words will be censored, also there is to be no name calling, doing so will give you a warning, and then a ban if you continue.

  3 - Spam:purposely spamming a message board with senseless, vacuous, or empty messages to gain a higher post count, or just to annoy others is HIGHLY frowned upon! Commercial spamming and advertising are just as unwelcome unless it is done in the special designed area. Promoting your site is only allowed with permission of the site owners. Bumping old threads is allowed in the request forums, but needless bumps in other forums will be classed as spam.

  4 - Email & Private Message Spam:If the members are using the private message facility to spam the others with pointless, unsolicited mail they will be banned. If anyone receives one of these messages, please contact an admin immediately.

  5 - Piracy, and Warez:We do not mind discussions about piracy or warez, as long as they are just that...discussions. Linking or giving information about any site that distributes illegal software, or warez, seeking help to circumvent any copyright laws, or encouraging software or media piracy is grounds for an immediate ban.

  6 - Impersonating Other Users / Accessing Another User Account:You may not impersonate another board member or create an account specifically for the purpose of provoking other users. Also, accessing or using someone else's account or attempting to access another poster's account is strictly prohibited. You will be banned.

  7 - Off-Topic Posts:There is no major punishment for off-topic posters. But lets be honest, it drives us all mad!! If you have something to say but it really has nothing to do with the current thread you are in, please open a new thread for it. Otherwise it will just be deleted and won't solve anything at all.

  8 - Circumventing a Ban:If you log onto the forums and receive a message that you have been banned, please submit an unban request and wait for a staff member to get in touch with you. You may NOT re register under a new name if the software lets you. But, if you try to sign up again and we caught you, then it will become a permanent IP Ban. We do NOT send out notices that you have been banned.

  9 - Nudity / Porn:please remember that this board is a PUBLIC forum. There are 12 year olds here just as there are 50 year olds. Nudity and porn is prohibited for obvious reasons.

  10 - Signatures & Avatars:We do not have any specific set of rules regarding signatures. However, we do ask you that it will not be offensive to others and the length should be within reason. If you desire to have a custom avatar, it must be 100x100 pixels or less. No adult, drug related or racist content please. After 5 posts you will be allowed to have an avatar.

  11 - Questionable Content:Since we can't have a rule to cover everything, this is the rule to, well, cover everything. These are public boards, so act like you would if you were in a public place. These issues are left to the discretion of the individual moderators, but may include any material that is knowingly false and or defamatory, misleading, inaccurate, abusive, vulgar, hateful, harassing, obscene, profane, sexually oriented, threatening, invasive of a person's privacy, that otherwise violates any law, or that encourages conduct constituting a criminal offense.
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Apr 19, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Mkuu wangu KABAZI.MKONOMTUPU HAURAMBWI..  JINSI YA KUCHANGIA (KUIWEZESHA) JF:

  Akaunti ambazo tangu awali tulipendekeza zitumiwe ni za Maxence Melo (as the JF Founder) na tukawaomba wanaotuma waandike Nicks za kuweza kutanabaisha kuwa wao ndio walotuma.

  =================================

  Michango inaweza kutumwa kwa njia kuu nne:

  1. Kwa walio nje wanaweza kutumia PayPal au Credit Cards au Debit Cards kwa kufuata link hii ( https://www.jamiiforums.com/payments.php) iliyo kwenye sahihi yangu (linapoonyesha dole gumba) na pindi mchangiaji anapoweka chochote tunakuwa notified nasi tunafanya kuwasiliana na mhusika ili aweze kupandishwa kwenda katika group la Premium Members.Paypal users: Send via email - macdemelo@gmail.com moja kwa moja itafika na utaarifiwa ndani ya dakika 60 kuwa mchango wako umepokelewa.

  2. Njia ya pili ni kutumia Western Union au Money Gram na kutuma kwenda kwa Maxence Melo Mubyazi wa Dar es Salaam.

  3. Njia ya tatu ni kutumia Bank accounts za Maxence kama ifuatavyo:NBC:Acc #: 033201064359Jina: Maxence Melo MubyaziCRDB:Account Name: Maxence Melo MubyaziBank: CRDB Pugu Road BranchSwift Code: CORUTZTZAcc No: 01J20923918004.

  Njia ya nne:
  Unaweza kutuma recharge vouchers za tiGO, Zain, VodaCom au Zantel kwenda kwa Maxence - 0713444649 naye atakufahamisha kuwa kazipokea.

  =================================Ikumbukwe, SI LAZIMA kuandika jina lako la kweli na SI LAZIMA kwenda mwenyewe bank kutuma pesa hizo (kwani unaweza kumpa unayemwamini na kumpa account details na jina lako ambalo ungependa aandike).

  Tunaweza kuandika mengi lakini ukweli unabakia pale kuwa JF inahitaji michango yenu kwa sana tu.Kwa wenye maswali zaidi wanaweza kuwasiliana na Maxence kupitia namba yake ya simu +255713444649
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Apr 19, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  KARIBU SANA mKUU, SIJUI KAMA WEYE NI DADA AU KAKA, LAKINIJF HAKUNA UBAGUZI..kARIBU SANA NDUGU, JISKIE NYUMBANI, KAMA MAMBO YA CHAI NDO HIYO HAPO JUU UMEPEWA!
   
 5. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #5
  Apr 19, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  @Pakajimmy, hapa kweli mgeni atasoma vizuri, macho yatauma
   
 6. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #6
  Apr 19, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Mkuu K of K,Ninatumia sipiyuu ya mtu ofisini kwake, sa ni ya kishenzi kabisa...Kweli ugenini shida!
   
 7. Zemu

  Zemu JF-Expert Member

  #7
  Apr 19, 2010
  Joined: Jun 5, 2008
  Messages: 517
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Karibu sana hapa ndio mahala tunapotoa madukuduku yetu wandewa.
   
 8. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #8
  Apr 19, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  du Binamu ungekuwa unawapa ka break kidogo te te te
   
 9. consigliori

  consigliori JF-Expert Member

  #9
  Apr 19, 2010
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 390
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mkuu mbona ni kama tunatuma kwa mtu? (Individual) thought JF is a company and expected bank accounts to be in the name of the Company. Just curious mkuu, dont get me wrong (some people call it professional sceptisism).
   
 10. Raimundo

  Raimundo JF-Expert Member

  #10
  Apr 19, 2010
  Joined: May 23, 2009
  Messages: 13,552
  Likes Received: 10,940
  Trophy Points: 280
  Haya sikuyasoma, lakini its myb hope kwamba sijawahi violate hizi principles.
   
 11. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #11
  Apr 19, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  karibu....
   
 12. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #12
  Apr 19, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Uko right Mkuu, ni kweli tunatuma kwa mtu binafsi, na kama wewe unaelewa kila kitu kuhusu JF, UTAJUA kwamba yeye (MAXENCE) ndo KIGOGO WA JF huku Bongo(nadhani niko sahihi), na kwa vile ameandikwa hapo kwa uwazi, basi tuamini tu kwamba anawasilisha fedha mahala kunakohusika, na wewe pia utaona jina lako limepandishwa hadhi na umekuwea premium member...kwahiyo hakuna usiri wala longolongo.
   
 13. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #13
  Apr 19, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Mh, asante mkubwa!
   
 14. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #14
  Apr 19, 2010
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Karibu sana mkuu.
   
 15. consigliori

  consigliori JF-Expert Member

  #15
  Apr 20, 2010
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 390
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Asante mkuu kwa ufafanuzi.
   
 16. K

  KABAZI JF-Expert Member

  #16
  Apr 21, 2010
  Joined: Apr 19, 2010
  Messages: 303
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Asante PakaJimmy kwa kanuni na taratibu zote za JF kiufupi ni KAKA!
   
 17. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #17
  Apr 21, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  well come back Kabazi
   
 18. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #18
  Apr 21, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Karu sana hapa jukwaani.
   
Loading...