Nimeingia rasmi

Nimeingia rasmi

Bukinabuza

Senior Member
Joined
Jun 17, 2008
Posts
105
Reaction score
29
Haya haya ndio kwanza naingia kwenye baraza.Nimesoma jamii forum kwa miaka kumi sasa nimefurahishwa na majambo yake. Naomba mnipokee kwa mikono miwili.
 
Twakupokea kwa mikono yote.karibu majukwaa yako wazi.
 
Karibu sana! Hivi JF ina zaidi ya miaka 10??
 
Haya haya ndio kwanza naingia kwenye baraza.Nimesoma jamii forum kwa miaka kumi sasa nimefurahishwa na majambo yake. Naomba mnipokee kwa mikono miwili.
karibu ila uwe makini na unachokiongea .. hope watakupa rules za JF moja wapo ni kutodanganya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom