naomba form

naomba form

smati

Senior Member
Joined
Dec 24, 2010
Posts
149
Reaction score
5
naitwa smati, natoka tanzania, africa mashariki. sinywi pombe si baki wanawake ila ni mtundu kiasi. napenda kuwa mwanachama. naomba form ya kujiunga.
 
Tunaomba umri wako kwanza!
 
acha uzinguz ww mbona ha2jui umri wako.Anyway karibu bana Smati 4m ziko pembeni pale,ila mautundu hayo mmhhh.

Hujaniomba, mimi nimemuomba Smati , pilipili usio ila yakuwashia nini?
 
naitwa smati, natoka tanzania, africa mashariki. sinywi pombe si baki wanawake ila ni mtundu kiasi. napenda kuwa mwanachama. naomba form ya kujiunga.

nimeacha nakala nying kwa yule dereva wa kivuko cha Mv Magogoni anaitwa Invisible_kamwambie nimekutuma akupe nakala yako na uijaze kikamilifu halafu uiache hapo nitaipitia au kama vp njoo ofisi zetu zipo mkabala na Wizara ya Elimu, ukifika mlangoni utakuta picha ya bibi na bwana_ulizia invisibles
 
na huo upara???

Huu ni upara wa asili tu nilizaliwa nao, usikutishe sana! ila kwa maswali yako naona unaumri wa kutosha kujiunga na JF, fuata ushauri wa tunalazimika ukapatiwe form yako ya kujiunga. Mimi nikutakie kila la kheri hapa javini, cha muhimu usiwe mtu wa hasira na mwenye pupa. Karibu saaanaaaa.
 
Asante sana mkuu, ila huo upara ungekuwa ni nguo ninge ununua, nitokee mwaka mpya.
 
nimeacha nakala nying kwa yule dereva wa kivuko cha Mv Magogoni anaitwa Invisible_kamwambie nimekutuma akupe nakala yako na uijaze kikamilifu halafu uiache hapo nitaipitia au kama vp njoo ofisi zetu zipo mkabala na Wizara ya Elimu, ukifika mlangoni utakuta picha ya bibi na bwana_ulizia invisibles

Mbona unanitisha hivi, invisible??. Ok asante sana, nitafika. Vipi daladala zinafika.
 
Hujaniomba, mimi nimemuomba Smati , pilipili usio ila yakuwashia nini?

Chilax ma men,myb u need a tym out.Chilax mbona mkali mazee,karibisha mgen kwanza mengine badae au vp?
 
Back
Top Bottom