Nimefurahi kukubaliwa kujiunga nanyi - hamjambo?

Nimefurahi kukubaliwa kujiunga nanyi - hamjambo?

BOLT

Member
Joined
Jan 25, 2011
Posts
38
Reaction score
1
ShikaMoo..

Hamjambo watoto, vijana, wazee, wake kw waume - while surfing net, nimegunduwa kumbe kuna jamii hapa.

Nikaribisheni!!!:yo:
 
Karibu Sana
Ulikuwa wapi mpaka hii jamii ulikuwa bado haujakutana nayo.... Anyway Better Late than Never
 
karibu sana lkn ni vzr kusoma na kufwata kanuni ,sheria za wenyewe.
 
karibu jamvini, zingatia masharti,kanuni, sheria za hapa jamvini
 
Ahsante "MSINDIMA" Duh, jina limenikumbusha mbali
 
OK, Manyanza as Pearl said, tayari nimesoma, nitarudia tena:car:
 
Karibu mgeni karibu ila fahamu, elewa, taratibu kanuni na mwongozo wa jamvi hili
 
Back
Top Bottom