Hodi hodi wana JF

Hodi hodi wana JF

LUMBAKALA

Senior Member
Joined
Dec 29, 2010
Posts
148
Reaction score
20
Naomba mnipokee ndugu zangu wa jamii forum.Ndani ya jarida hili hata hamu ya kutoka unashindwa maana mambo ya JF yanapendeza si utani
 
Ni usiku sana, lkn karibu, yaelekea umetembea umbali mrefu hadi kuwasili hapa Jf. pole sana mkuu, pata maji baridi-bili kwangu.
 
Naomba mnipokee ndugu zangu wa jamii forum.Ndani ya jarida hili hata hamu ya kutoka unashindwa maana mambo ya JF yanapendeza si utani

Umetokea UVCCM nini (jokes)..................... Karibu sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom