Karibu sana.
Nina tafuta mchumba, jinsia yako ni ipi?
Wana jf, naja jinsi nilivyo.
Mimi si malaika kwamba nisikosee, wala si taahira nisiweze kuchangia.
Naomba nirekebishwe na kukosolewa pale ninapokosea.
Naomba nipongezwe pale ninapofanya vizuri.
Asanteni sana great thinkers
Napinga udini katika jamii yetu tulivu ya kitanzania.
Mbona kwenye udini umepapaka rangi nyekundu?