othorong'ong'o in the house

Wayaya yaayaaaaaa yeeyeeeee,mama weeeeeeeeee wuhuhuuuuuuuuuu!........Otorong'on'go si alishakufa jamani-nimekutana naye live mitaa ya JF!
iM Jockin Badi, yuar welikamu! teh teh
 
tahazari sana mkuu, kipindi hiki mods wanajaribu mitambo yao mipya ya kupigia BAN. epuka jazba na mabishano yasiokuwa na msingi pamoja na udini, karib sana.

naitwa klorokwini , ni selebriti wa hapa JF.
 
hahahaaaa kwa hiyo inabidi kuwa makini sana kabla ya kupost? Angalia wasijeanza na wewe kwa kuwatolea siri yao. Huyu othorong'ong'o kama nimewahi kukutana naye naigeria, siyo huyu kweli?
 
:banplease:
 
Ni yy ila umesahau,mimi niliwaona Kibera Nairobi mkigawana mhogo jioni fulani hivi. Karibu sana Otho, Kivuitu hajambo?
 
ndo huyo huyo itakuwa kafundishwa kiswahili na kanumba tu, si unajua kanumba kule naija anaingia bila viza tangu aigize lile igizo lake dar to lagos.
 
Ni yy ila umesahau,mimi niliwaona Kibera Nairobi mkigawana mhogo jioni fulani hivi. Karibu sana Otho, Kivuitu hajambo?
ahaaa kumbe ni wewe aisee yapita siku mingi sana omera. Kweli we iko na kumbu kumbu msuri.
 
inabidi aanzie kwanza jukwaa la lugha kabla hajaharibu mambo.
halaf bado ana ka post kamoja tu tangu jioni, nazani alijiunga akiwa cafe, tumsubirie zaidi akiwa home kwenye kalaptop kake tumpe huu ushauri. mzee vp kule kimeeleweka au bado ngoma ngumu?
 
bado mkuu hakijaeleweka, nafikiria kupunguza vigezo ili kuwaruhusu wajane na wazee au we unanishaurije?......lol
 
au labda mambo ya mgao nini
 
bado mkuu hakijaeleweka, nafikiria kupunguza vigezo ili kuwaruhusu wajane na wazee au we unanishaurije?......lol
itabidi mkuu, maana naona kalenda inakatika mbaya sana. lakini be patient pengine wanachkua muda kukusoma tu, si unawajua hawa dada zetu bana, mikwala mingi lakini dakika ya 89 unaweza ukaona nyavu zinatikisika.
 
<br />
kweli kabisa au nihamie pale kwa Kakobe si naweza kubahatisha mpendwa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom