Hodi jukwaani!

Hodi jukwaani!

TONGONI

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2011
Posts
1,041
Reaction score
376
Hodi jukwaani,heshima kwa wakubwa na wadogo,kwa siku za karibuni nimekuwa nikitumia muda mwingi ktk jf kwa kweli nimejifunza mengi kupita nilivyo tarajia,na kizuri zaidi nimeona yale ambayo ingawa kwa upeo wangu mdogo nami naweza kufaidisha wengine kwa namna moja au nyingine.natumaini mtanipokea kwa mikono miwili
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom