Karibu Mgeni

Silly

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
569
180
Hello Wakubwa,
Nimekuwa great admirer wa JF kwa vile discussions zinazopatikana hapa zina base kwenye facts na sio ushabiki kama vijiweni au mjengoni (sometimes). Nimefanikiwa kujiunga na pia nataraji kwenye discussions mchango wangu pia utaweza kuwasaidia wengine na pia mwenyewe nitakuwa najifunza zaidi.
Kwa sasa niwape salamu wote na kuwaomba support ili kuiweka JF juu kama ilivyo.
 
Mhh...wee mgeni kweli?? yaani tangu nov, 2010; ulikuwa bado tu hujaingia ndani??!!! BTW..karibu kahawa.....:coffee:
 
karib sana. ukikerwa hautakiwi kuchukua sheria mikononi mwako. unachotakiwa ni kubofya hiki ambacho kinapatikana juu kulia kwenye post ya aliekukera. slogan yetu inasema: ukitupenda tutakupenda, ukituchukia tutakuvumilia, ukivunja sheria hatutokuachia.

karib sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom