Hodi humu ndani

Hodi humu ndani

sweetdada

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2011
Posts
519
Reaction score
170
Kwanza napenda kuwapeni pole wote mlioathirika kwa namna moja au nyingine na mabomu ya Gongo la mboto.Poleni.

Pia napenda kujitambulisha kwenu mie mgeni,nimekuwa nikiwasoma kwa muda mrefu ila kuna kitu kimenisukuma leo nijoin this forum.This forum is for real nawapongeza wote na ninawapenda wote.

Sweetdada
 
acha tukukaribishe kwa mchiriku.

nambie nambieee sweetdada ,akuzuzuwaee
nishike bakora nichapane naeee
akishanishinda we tembea naee
akishanishinda utalala naeee
akishanishinda tanua naee
kama katavi sina ubaya naee
kama hashycool nitauwana naee
kama ze finest bora ukapepewee
kama invizibo nalogana naee
wewe wiselady waniuwa ujuee
nawe michelle usinisumbuee
nawe husninyo usinizuzuwee
wangu preta usisuesueee.


karib switidada , naitwa klorokwini hapa kijijini wananiita "holy tablet"
 
Karibu sana sweetdada huyo hapo ndio Klorokwini, wengine wametoka kidogo!
 
Asanteni jamani wote ..hhahaa Klorokwini una vituko :smiling:
 
Sweet dada karibu huyo ankal wangu klorokwin asikupe shida sana
 
Back
Top Bottom