Napenda kujitambulisha rasmi na nategemea tutakuwa na mijadala ya maana zaidi ambayo italenga kujenga na sio kubomoa na wala haitokuwa na kudhihakiana wala kutukakana wala personal attacks...
Habarini jamani!
Mimi mwenzenu ni mpya naomba kuingia humu ndani niungane na kushirikiana na ninyi katika kuijenga na kuitetea nchi na taifa letu kwa ujumla.
please msinitenge ndugu zangu.
Habari zenu wote kwa ujumla.
Nawasalimu kwa jina la bwana. Mie mgeni hapa naomba mnipokee na kunielekeza pale nitakapokosea. Nimekuwa nikisoma tu kama mgeni ila nimeamua rasmi kujiunga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.