hodi hodi hodi wakubwa.........

hodi hodi hodi wakubwa.........

shemasi

Member
Joined
Mar 14, 2011
Posts
50
Reaction score
0
nimekuja ndugu zangu kuungana nanyi hapa jamvini....
nipokeeni kwa mikono miwili
mtu wa Mungu amekuja
 
ohooo! Karibu sana shemasi, hapa ndio jf sebuleni. Kadiri utakavyokuwa mwenyeji ndivyo utakavyofahamu vyumbani. Just curious, lini utatualika kwenye upadrisho?
 
Karibu shemasi, feel at home!!!!
 
ohooo! Karibu sana shemasi, hapa ndio jf sebuleni. Kadiri utakavyokuwa mwenyeji ndivyo utakavyofahamu vyumbani. Just curious, lini utatualika kwenye upadrisho?

usijali ndugu yangu
Tuombe uzima na Mungu afanikishe hii safari
 
Shemasi umenikumbusha mbali sana enzi zile za Easter Conference za shuleni mnakwenda mnasali wiki nzima na shemasi ndio kiongozi wa sala asubuhi, mchana, jioni na usiku.

Upadrisho lini mkuu. Ila karibu sana
 
nashukuru kama wakumbuka kazi ya watumishi wa Bwana.
upadrisho waja japo si leo
 
karibu sana shemasi na imani utakemea na mapepo yanayokuja kupaka upupu humu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom