ngooo ngooo ngooo

Sanj

Member
Mar 11, 2011
17
1
please nifungulieni mlango nimebisha hodi,,,,ni me kuja kikamilifu,,,,Thanx a lott u guys
 
Karibu Sanj, huyo hapo juu anaitwa Katavi, ni mtu mkarim sana, na kwakuwa amekuwa wa kwanza kukukaribisha, utaenjoy sana!!!
 
Karibu sana, mimi mwenzio na mchanga humu kama wewe. Naomba kukutahadharisha:

1) Kuna majina fulani fulani haya-kosolewi humu JF. Utajionea mwenyewe kadiri muda unavyokwenda.

2) Ukikosowa au kutokuunga mkono mada za Chadema, utakuwa mbaya wa wengi.

3) Ukitetea au kusifia chochote kuhusu CCM pia utakuwa mbaya kwa wengi.

4) Ukimsifu Kikwete hata kwa chembe ya mema yake utakuwa mbaya kwa wengi.

5) Ukiisifu Chadema hata kama haina cha mana ilichofanya utakuwa mtu mwema na mzuri saaaaana kwa wengi.

6) Ukimsifu Mbowe na Slaa, hata kama kuna mmoja wao anakwenda kinyume na maadili, utakuwa mwema sana na mpenda maendeleo. Utapendwa na wengi sana.

Karibu.
 
Labda hayo yapo kwenye siasa, hapa jukwaani kwetu kila mtu anapokelewa vizuri...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom