Ngo ngo ngo ngo ngo

Ngo ngo ngo ngo ngo

Mamuu55

Member
Joined
Mar 12, 2011
Posts
44
Reaction score
0
Habari zenu wote kwa ujumla.

Nawasalimu kwa jina la bwana. Mie mgeni hapa naomba mnipokee na kunielekeza pale nitakapokosea. Nimekuwa nikisoma tu kama mgeni ila nimeamua rasmi kujiunga.

Asanteni sana kwa ushirikiano wenu
 
Karibu sana Mamuu55, kwanza zisome sheria na kanuni za jamvi hili kwa makini.
 
Asante nimezosoma na kuandastandi kabisa asante kwa kunikaribisha
 
Back
Top Bottom