mahusiano na wengine

mahusiano na wengine

maholelo

New Member
Joined
Mar 18, 2011
Posts
2
Reaction score
0
Mimi ni mwanachama mpya wa Jamii Forum naomba mahusiano na wengine katika kuwasiliana kwa mambo mbalimbali
 
Mimi ni mwanachama mpya wa Jamii Forum naomba mahusiano na wengine katika kuwasiliana kwa mambo mbalimbali

maholelo kama sikosei maana yake matambiko. 2po pa1 man jisikie huru mkuu.
 
karibu sana bila kujali kabila,dini,jinsia,rangi.......
 
Back
Top Bottom