Forum yenu changamfu sana

Forum yenu changamfu sana

MrNSSF

Senior Member
Joined
Mar 17, 2011
Posts
136
Reaction score
73
Napenda kujitambulisha rasmi na nategemea tutakuwa na mijadala ya maana zaidi ambayo italenga kujenga na sio kubomoa na wala haitokuwa na kudhihakiana wala kutukakana wala personal attacks

Kama kutakuwa na mtu ana data za kuback up arguments zake tafadhali naomba aje tuzichambue pia kwani bila supporting data itakuwa ngumu mtu kuzungumza

Natumai tutafika pazuri na naamini mnaojiita GREAT THINKERS hamtosema neno mpaka muwe muna uhakina na mnachokisema

asante sana

WE BUILD YOUR FUTURE!
 
Karibu sana pitia pitia kanuni za Jf hapa .
 
karibu sana utakayoyaona na kuyasikia yaache humuhumu
 
umeingia leo tu umeshaanza majungu,..mbona unajiami,humu ukileta crap you know we give it back,..personal attacks zitakujaaje wakati wewe ni shirika-nssf,...welcome anyways,..humu ndivyo tunavyokaribishanawatu tuna uchungu na ukombozi wa nchi hii...
 
Napenda kujitambulisha rasmi na nategemea tutakuwa na mijadala ya maana zaidi ambayo italenga kujenga na sio kubomoa na wala haitokuwa na kudhihakiana wala kutukakana wala personal attacks

Kama kutakuwa na mtu ana data za kuback up arguments zake tafadhali naomba aje tuzichambue pia kwani bila supporting data itakuwa ngumu mtu kuzungumza

Natumai tutafika pazuri na naamini mnaojiita GREAT THINKERS hamtosema neno mpaka muwe muna uhakina na mnachokisema

asante sana

WE BUILD YOUR FUTURE!

kwa nini wewe ndo usianze kwa kutoa data. Mimi kama nina maswali?

  • Vission na Mission ya NSSF ni nini hasa?
  • Tofauti ya NSSF na CRDB, NMB ni nini? I mean NSSF intkiwakuwa focused sana na fida kama zilivyo benki?
  • kwa nini NSSF haiwekezi kwenye miradi inayelenga kubadilisha maisha ya wanchama wake kama kujenga nyumb japo 50 kila mko kila mwaka na kuwauzia wafanyakzi kwa mikoa mikubwa na nyumba kma 20 kwa mikoa mingine.?
 
Mbona una mashaka sana? we fisadi nini!!
eti tusisema jambo mpaka tuwe na uhakika nalo!!!!!! wewe yaani unataka wooote humu ndani tuwe tumemmwona Rostamu akifungua kampuni feki kuiibia nchi!!!
wezi hutembea kwa mashaka siku zote......wacha kujishtukia!
 
kwa nini wewe ndo usianze kwa kutoa data. Mimi kama nina maswali?

  • Vission na Mission ya NSSF ni nini hasa?
  • Tofauti ya NSSF na CRDB, NMB ni nini? I mean NSSF intkiwakuwa focused sana na fida kama zilivyo benki?
  • kwa nini NSSF haiwekezi kwenye miradi inayelenga kubadilisha maisha ya wanchama wake kama kujenga nyumb japo 50 kila mko kila mwaka na kuwauzia wafanyakzi kwa mikoa mikubwa na nyumba kma 20 kwa mikoa mingine.?
ni kweli mkuu ajubu haya kama yeye ni nssf la sivyo USIFISADI UNAENDELEA HUKO!
 
Karibu binamu mpya. angalia usije ukawa unaingia kwa hari. watakumaliza!!!:juggle:
 
Karibu sana japo unaonekana kama mwenyeji vile:lol::lol::lol:
 
Back
Top Bottom