Mimi ni Mtanzania mzawa, ninaishi Tanzania.
Nimekuwa nikisoma majadiliano motomoto hapa JF kuhusu ukombozi na ujenzi wa Taifa. Mimi pia nimevutiwa kujiunga na JF ili niweze kuuliza maswali na...
hello wana JF poleni na shughulu za ujenzi wa taifa , pamoja na majukumu . naombeeni mnipokee kama mwanachama mwenzenu, mpokee pia mawazo, maoni na ushauri nitakapokuwa nachangia
asanteni na...
Thanks kwa kupata nafasi kama hii!jamani tanzania kama sweden inawekana!ili mradi tuamue kubadilike kuanzia mtu mmoja mmoja na jamii nzima kwa ujumla!!si huu upuuzi wa sasa hivi!watu wanatumia...
If i had ever been so over irritated,is when I'm ignored or underestimated in whatever I'm about to do,as i believe that i can enhance an unlimited power of human spirit which i have in me and...
Helo nguys&ngirls!2po pamoja sana katika kuitetea our lovely Tanzania!2po pamoja sana katika kumake sure miili yetu inaish as long years as possible!meeeeeeen ULEVI NOMA,UNALOSTISHA!!!GO ASK MY...