Hodi Hodi JF

Mseriandy

Member
Mar 27, 2011
35
6
Mimi ni Mtanzania mzawa, ninaishi Tanzania.

Nimekuwa nikisoma majadiliano motomoto hapa JF kuhusu ukombozi na ujenzi wa Taifa. Mimi pia nimevutiwa kujiunga na JF ili niweze kuuliza maswali na pia kuchangia mada mbalimbali.

Ninaomba mawazo haya kutoka hapa JF kutoka kwa watu wenye elimu na uzoefu tofauti tofauti vile vile yawafikie wengi zaidi kupitia magazeti.

Au kama Nashauri lianzishwe Jarida la Wiki, 'yatokanayo mtandao wa jamii'

kwa mfano kwenye jamii forums kuna mawazo mazuri sana kuhusu ujenzi wa taifa letu (kilimo, madini,utalii,elimu), ushauri kwa viongozi wetu, kuikosoa serikali na pia mahusiano ya kawaida(ndoa,muziki, michezo)

asanteni.

Naahidi nitakuwa mwana JF mwema
 
Karibu sana,

Mseriandy...............,habari za huko Arusha. Mimi naitwa Mwenzetu niko hapa na pale.:welcome: jisikie uko arusha...karibu sana
 
Mwenzetu hupatikani ndugu yangu,unaishi kwenye Jukwaa gani?
 
Mimi ni Mtanzania mzawa, ninaishi Tanzania.

Nimekuwa nikisoma majadiliano motomoto hapa JF kuhusu ukombozi na ujenzi wa Taifa. Mimi pia nimevutiwa kujiunga na JF ili niweze kuuliza maswali na pia kuchangia mada mbalimbali.

Ninaomba mawazo haya kutoka hapa JF kutoka kwa watu wenye elimu na uzoefu tofauti tofauti vile vile yawafikie wengi zaidi kupitia magazeti.

Au kama Nashauri lianzishwe Jarida la Wiki, 'yatokanayo mtandao wa jamii'

kwa mfano kwenye jamii forums kuna mawazo mazuri sana kuhusu ujenzi wa taifa letu (kilimo, madini,utalii,elimu), ushauri kwa viongozi wetu, kuikosoa serikali na pia mahusiano ya kawaida(ndoa,muziki, michezo)

asanteni.

Naahidi nitakuwa mwana JF mwema

Karibu sana,mimi ni muongeaji (Speaker)!
Kwetu tulifundishwa kuongea kwa kila lugha,...lakini nilichagua kutumia lugha ya matendo na criticism
 
Mwenzetu hupatikani ndugu yangu,unaishi kwenye Jukwaa gani?

aaaaaaah speaker nipo tu mkuuuuu,si unajua nipo hapa na pale.Siku hizi hatuulizani yaweza kuwa nimekwama kwenye foleni ya babuuu,lakini yote kheri natumanini hujambo
 
watu wa jf hawana majina,jinsia,hawaonekani,hawana sauti na hawajuani,karibu kwa niaba ya husninyonjisikie utakavyo.mia
 
Back
Top Bottom