Naombeni mnikaribishe!!!!!

Naombeni mnikaribishe!!!!!

sweetlady

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2010
Posts
16,967
Reaction score
8,498
Nawapenda woooote humu ndani!Zaidi sana kwa wote wenye kuitakia mema cdm! Nimekuwa msomaji mzoefu wa jamii forum ila ckuwahi kujiunga. Nimeamua kujiunga rasmi ijumaa ya last week so hope mtanipokea kwa mikono miwili.
 
Karibu mgeni . Mm mwenyeji wako toka sasa.
 
hatakayekataa kumpokea sweet lady basi ana matatizo...... Karibu Sana
 
Jina lako tu... Je lina ukweli ndani yake? Karibu sana..
 
karibu Sweetlady,karibu sana,kheri ya sikukuu ya xmass
 
umeona eeh! Ila msamehe coz ulimi hauna mfupa, atakuwa kateleza kwa bahati mbaya au jina limempagawisha nini???

Msisingizie ulimi bure ni kidole hicho,sasa kidole kina mfupa sijui inakuaje.LOL.
Sweetlady welcome in i'm Good Guy from quick judging of our usernames we have a lot in common.Welcome
 
karibu shost, hatujapishana sana. watu wa hapa wakarimu sana
 
Back
Top Bottom