Kwa heshima na taadhima

Kwa heshima na taadhima

Peter Nyanje

Member
Joined
Jan 15, 2012
Posts
43
Reaction score
18
Kwa heshima na taadhima naomba kuungana nayi waungwana wajenga nchi. Namini kuwepo kwangu hapa kutaninufaisha katika maisha yangu binafsi lakini pia kitaaluma.

Nimekuwepo nikichungulia kama mgeni kwa muda sasa lakini nimevutika kuingia, tena kwa jina langu halisi kama njia yangu ya kumuenzi Bi Regia Mtema, mmoja wa watu waliokuwa humu kwa majina yao halisi bna kuweza kukabiliana na mawimbi na misukosuko yote iliyoelekea upande wao.

Naamini kuwa tutashirikiana kusukuma mbele gurudumu letu la maendeleo
 
Back
Top Bottom