Hodi ndani

Hodi ndani

Karibu sana Black Womani jamvini!
 
Karibu ukaribie upewe jamvi ukalie na kitako utulie
 
nawapenda sana
Endelea kutupenda hivyohivyo ila angalia bibie na pia tunakuomba uangalie angalizo hili:Usijichakachue na kuutaka weupe hauna mpango wowote,endelea kuwa blaki kama kawa ,kama weupe ni mali ubuyu usingepakwa rangi,mbona wao hawajichakachui na kuwa weusi?
 
weupe unauzwa weusi je?
 
karibu sana jisikie upo nyumban lakin kula kwenu hapa ni michango tu............
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom