Nimekuwa nikifuatilia maada za jamii forum kwa muda sasa nimeona na mie nijiunge na magreat thinkers. Ntajitaidi nami kutoa mchango wangu kwa ajili ya jamii yetu. I am happy now to be a part of...
jaman....kweli nimevutiwa na jukwaa hili...kiukweli nataka kua mmoja wa wa family hii ili tuweze kubadirisha mawazo na kujengeana hojaaa mbalimbali za maisha.
Naomba 2shirikiane kuhakikisha tunapata ajira la sivyo tujumuike kwa pa1 tufungue kampun den tusaidie wadogo zetu ili wasije kupata tabu kama 2nazozipata ss. Kwa pa1 2naweza, m well knwn s '' da...
Nafurahi kujiunga nanyi humu nategemea ushirikiano mkubwa thanx,
Hivi kitendo cha serikali kutosikiliza madaktari na madai yao ni kuwatendea haki wattanzania na wapiga kura wao?
Wana JF, Aslaam aleikum/Tumsifu Yesu kristu!!
Kwa mara ya kwanza naingia humu mjengoni kwa Great Thinkers, Naombeni mnipokee tushirikiane kwa pamoja, tuelimishana, kutofautiana na kupingana bila...
Hellow jf members,nilikuwa nasimuliwa muda mrefu khs jf na umuhimu wake nikaanza kupitia threads mbalimbali kwa kutumia login za my friend kwa kweli hakunaga naamini tutashare mengi zaid na pia...