Wana jamvi hodiiiiii..!

Wana jamvi hodiiiiii..!

Roben

Member
Joined
Jan 23, 2012
Posts
51
Reaction score
3
Bandugu naomba mnipokee!nimekereketwa kujiunga nanyi kwenye hili jamvi la ukweli.ahsanteni sana!.
 
Mbna unaonekana unazijua kona zote za jukwaa, mgen kwel wew? Bt karibu...
 
Kupokelewa utapokelewa ila uwe umejiandaa na mikiki mikiki ya humu jamvini nikimaanisha uvumilivu, ustarabu na busara vikutawale ili tufike tunakokwenda na tunakotaka kuifikisha Tz inayowahitaji vijana wa kuikomboa kwa sasa
 
Thanks shine,nimekuwa napita jf km guest,so naelewa unayosema.kwa pamoja tutawza mpaka kielewke!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom