A Aunt ite New Member Joined Jan 20, 2012 Posts 1 Reaction score 0 Jan 24, 2012 #1 Wapendwa watanzania,hoja niliyo nayo inaniumiza kichwa hiivi kwanini kijana anatumia nguvu ya ziada kumpata binti wakati anafahamu anataka apite tu
Wapendwa watanzania,hoja niliyo nayo inaniumiza kichwa hiivi kwanini kijana anatumia nguvu ya ziada kumpata binti wakati anafahamu anataka apite tu
dazipozi JF-Expert Member Joined Nov 5, 2011 Posts 1,137 Reaction score 106 Jan 24, 2012 #2 Basi tu,Mx
Michael Scofield JF-Expert Member Joined Jul 30, 2011 Posts 1,225 Reaction score 473 Jan 24, 2012 #3 Karibu dada JF
Michael Amon JF-Expert Member Joined Dec 22, 2008 Posts 8,769 Reaction score 3,649 Jan 24, 2012 #4 nadhani hiyo itafaa zaidi kama utaipeleka jukwaa la mapenzi. karibu sana JF
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,872 Reaction score 13,857 Jan 25, 2012 #5 Karibu sana jamvini mkuu.
Vmark. JF-Expert Member Joined Aug 2, 2011 Posts 1,353 Reaction score 274 Jan 25, 2012 #6 Karibu sana....im expecting a lot from u....
Mshume Kiyate JF-Expert Member Joined Feb 27, 2011 Posts 6,764 Reaction score 908 Jan 26, 2012 #7 karibu sana
Michael Amon JF-Expert Member Joined Dec 22, 2008 Posts 8,769 Reaction score 3,649 Jan 26, 2012 #8 Aunt ite said: Wapendwa watanzania,hoja niliyo nayo inaniumiza kichwa hiivi kwanini kijana anatumia nguvu ya ziada kumpata binti wakati anafahamu anataka apite tu Click to expand... Karibu sana JF. Nadhani hii mada inafaa zaidi kama utaipeleka jukwaa la mapenzi
Aunt ite said: Wapendwa watanzania,hoja niliyo nayo inaniumiza kichwa hiivi kwanini kijana anatumia nguvu ya ziada kumpata binti wakati anafahamu anataka apite tu Click to expand... Karibu sana JF. Nadhani hii mada inafaa zaidi kama utaipeleka jukwaa la mapenzi
Kabakabana JF-Expert Member Joined Aug 5, 2011 Posts 5,550 Reaction score 1,166 Jan 26, 2012 #9 Yani kama hili limekuumiza kichwa,tegemea kufa kwa presha
Rosweeter JF-Expert Member Joined Oct 28, 2010 Posts 1,172 Reaction score 4,435 Jan 26, 2012 #10 Lazima umefikwa weye, karibu
TUKUTUKU JF-Expert Member Joined Sep 14, 2010 Posts 11,763 Reaction score 4,047 Jan 31, 2012 #11 karibu mkuu