heloo

heloo

muislamsafi

Member
Joined
Jan 25, 2012
Posts
78
Reaction score
20
nimefurahi kujiunga jf natumaima nitajifunza mengi nakutoa elimu sahihi katika mambo ninayo yafahamu asante jf kwa kunipa nafasi hii
 
Karibu sana tusugume gurudumu la jf kwa umakini mkubwa
 
(Karibu sana tusugume gurudumu la jf kwa umakini mkubwa)

asante tutakuwa pamoja
 
Ndugu Karibu sana. Michango yako kimawazo ni muhimu sana kwetu.

Maana hali ya inji hii inatisha sana!!!

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!!!
 
nimefurahi kujiunga jf natumaima nitajifunza mengi nakutoa elimu sahihi katika mambo ninayo yafahamu asante jf kwa kunipa nafasi hii
Mkuu karibu sana! ila jina lako limenishtua kidogo....nitafurahi sana nitakapoona unapost mada za kujenga nchi yetu na si maswala
ya udini hapa jamvini. Hapa jamvini kuna waislaam,wakristo na wasio na dini (mfn.Kiranga) Lakini wote tumeweka dini zetu pembeni
na tunamwaga mahoja kwa kwenda mbele. Karibu sana mkuu,ila jina lako ndiyo limenishtua
 
Back
Top Bottom