hey

hey

MASHOW

Member
Joined
Jan 20, 2012
Posts
34
Reaction score
1
Nafurahi kujiunga nanyi humu nategemea ushirikiano mkubwa thanx,

Hivi kitendo cha serikali kutosikiliza madaktari na madai yao ni kuwatendea haki wattanzania na wapiga kura wao?
 
Karibu sana. Hilo swali lako ipo thread inazungumzia jambo hilo, itafute utapata jibu huko
 
Mashoo we ni mchaga na dhani welc'...e uje na mawazo mema.
 
Karibu sana JF. Tegemea kupata ushirikiano mkubwa kutoka kwangu
 
Nafurahi kujiunga nanyi humu nategemea ushirikiano mkubwa thanx,

Hivi kitendo cha serikali kutosikiliza madaktari na madai yao ni kuwatendea haki wattanzania na wapiga kura wao?

Karibu sana JF
 
Back
Top Bottom