hodi ndan jaman nitapata dalali nataka chumba

hodi ndan jaman nitapata dalali nataka chumba

Joined
Jan 24, 2012
Posts
8
Reaction score
0
jaman....kweli nimevutiwa na jukwaa hili...kiukweli nataka kua mmoja wa wa family hii ili tuweze kubadirisha mawazo na kujengeana hojaaa mbalimbali za maisha.
 
Duh!.......kichwa panzi! karibu sana mkuu, mi ndo dalali mkuu ila sema we ni ME au KE.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom