Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Hii ni mara ya pili sasa mafundi nguo wananiharibia nguo zangu! Namwambia vizuri tu kwa lugha inayoeleweka "...punguza urefu na upana." tunakubaliana... nampa pesa yake nasepa. Leo nimekuja...
4 Reactions
31 Replies
3K Views
Wapo wenye nywele nyeusi, nyeupe , brown, kijivu. And also their hair appearance differ. What makes their hair to behave like that? Is nationality the reason of those difference ?. Answers please!
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Poleni na majukumu, Napenda kujua brand nzuri ya saa na bei zake especially saa za kike kama una picha unaweza share Asanteni.
0 Reactions
42 Replies
16K Views
Hongereni kwa kazi! Naomba kujua kwanini watu wengi wanapenda sana kufua nguo zao za ndani bafuni? Tena wengi hufua kwa kutumia sabuni ya kuogea ambayo kimsingi imetengenezwa kwa ajili ya kuogea...
2 Reactions
72 Replies
11K Views
  • Redirect
Kumekuwa na tetesi nyingi kuhusu urembo huu wa kuvaa cheni za miguuni. Wengi wamekuwa wakisema kuwa cheni hizo zinamaanisha kwamba mvaaji anaonyesha kwamba yeye anaweza mapenzi ya kinyume na...
0 Reactions
Replies
Views
Topshop is one of the bests online clothing markets in the UK, and it is largely knowing as the online market with the most trending in fashion clothing products. Topshop is also known for its...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nina baadhi ya marafiki hunishangaa sana eti kwanini sivai nguo ya ndani kama wengine. Mimi huwajibu kirahisi kabisa ,kuwa Mimi ni MTU huru kwa hiyo siwezi kuvaa ,MTU ukiwa uko huru ni lazima...
4 Reactions
68 Replies
10K Views
Wakuu habari, ni takribani nusu mwaka nimehamia Mbeya na kama mnavyojua hali ya hewa huku ni upepo na baridi. Ngozi yangu imekua kavu na imefubaa. Kwa anaejua cream au lotion au mafuta mazuri...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Hivi kuna perfume nyingine inayoipiku hii kitu kwa kusmell fresh? Mimi binafsi hii naikubali sana, wewe je? Sent using Jamii Forums mobile app
6 Reactions
93 Replies
18K Views
Wadau habari, kuna nguo niliimwagia wine na nyingine nilikuwa nakata nyama ikadondokea damu sasa sikuzifua muda huo huo na baadaYe yale madoa hayatoki tena hata nikiloweka, nitumie nini? Nguo...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
African girls are the most beautiful girls in the world. Their natural body curves, beautiful melanin skin makes them unparalleled. African girls don't need to go for plastic surgery to get curves...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
UTAFITI: Wasichana wanapojilinganisha uzuri & watu maarufu wanaowaona kwenye mitandao huwafanya kutojipenda & kupatwa na sonona(depression). DALILI ZA SONONA 1. Kukosa raha, kushindwa kushiriki...
5 Reactions
7 Replies
3K Views
Mimi nashindwa kuelewa kabisa watu (hasa wanaume) wanaovaa saa enzi hizi za dijitali kama wanafanya hivyo kwa makusudi au ni mbwembwe tu. Kwanini nasema hivyo? Siku hizi yapata 98% ya watanzania...
5 Reactions
230 Replies
32K Views
Nawasalimu wanajamvi wote! Niende moja kwa moja kwenye dhumuni la uzi huu, Mimi ni jinsia KE na kuna kitu kimoja kinachonitatiza kuhusu ngozi yangu tangu nimeanza kujitambua katika kukua kwangu...
1 Reactions
31 Replies
6K Views
Asalaaam alyeikum! Bwana yesu asifiwe! Imekua ni kawaida kwa ndugu marafiki na wapenzi kushindwa kuwaaambia marafiki ndugu au wapenz wao juu ya ugonjwa huu wa kunuka mdomo unaosababishwa na...
16 Reactions
16 Replies
8K Views
Habari wana jamvi. Kwanza kabisa namshukuru Mungu kwa uzima tulio nao. Twende kwenye mada yetu ya leo inayohusu staili ya nywele za kichwani. Kuna baadhi wanapenda vipara wanadai unakuwa sexy...
2 Reactions
19 Replies
8K Views
Wakuu salaam Sina lengo la kukashfu maumbile ya mtu, bali kutaka kujua sababu ziwe za kisayansi au nyinginezo. Kuna binti nipo naye karibu mazingira ya ofisini kwetu. Huyu binti ni nzuri na...
2 Reactions
25 Replies
5K Views
Makamu wa Rais was taifa kubwa USA amempa big up bosi Maxence Melo kwa kunyuka suti kali.
45 Reactions
89 Replies
11K Views
Habari za mchana huu wakuu?.. njooni mtoe maoni kuhusu hii kasumba mbona wanawake wasikuizi wakivaa nguo vyupi au makufuli yanaonekana au yanajichora? hii kitu ni sahihi na je mbona Enzi hizo...
4 Reactions
74 Replies
15K Views
Back
Top Bottom