Napenda kujua brand nzuri ya saa na bei zake

kwitandula

Member
May 24, 2020
30
35
Poleni na majukumu,

Napenda kujua brand nzuri ya saa na bei zake especially saa za kike kama una picha unaweza share
Asanteni.
 
Chagua Kati ya hizo Hapo
 

Attachments

  • IMG_20200908_113314_803.jpg
    IMG_20200908_113314_803.jpg
    104.6 KB · Views: 57
  • IMG_20200908_161823_972.jpg
    IMG_20200908_161823_972.jpg
    83.1 KB · Views: 50
  • IMG_20200908_112213_487.jpg
    IMG_20200908_112213_487.jpg
    88.5 KB · Views: 44
  • IMG_20200908_162028_885.jpg
    IMG_20200908_162028_885.jpg
    67.9 KB · Views: 42
Nzingine hizo mkuu
 

Attachments

  • IMG-20200908-WA0045.jpg
    IMG-20200908-WA0045.jpg
    21.1 KB · Views: 40
  • IMG-20200908-WA0048.jpg
    IMG-20200908-WA0048.jpg
    19.7 KB · Views: 45
  • VID-20200907-WA0011.mp4
    5.5 MB
  • VID-20200903-WA0022.mp4
    1.7 MB
Ni bora useme unahitaji kujua saa za kiwango kipi, cheap zitakuwa za kichina , Ila huko kwa mabeberu Kuna saa Kama F.P journe , Richard miles kwa mwaka juzi Bei zao kwa entry level model ilikuwa ni Dola 30000, na Kuna model zilikuwa zinafika Hadi million dola
 
Back
Top Bottom