Uso wangu unang'aa sana tofauti na sehemu nyingine za mwili, tatizo linaweza kuwa nini?

Mildotty

JF-Expert Member
Jun 29, 2016
278
198
Nawasalimu wanajamvi wote!

Niende moja kwa moja kwenye dhumuni la uzi huu, Mimi ni jinsia KE na kuna kitu kimoja kinachonitatiza kuhusu ngozi yangu tangu nimeanza kujitambua katika kukua kwangu. Yaani mtu akiniangalia Usoni ninang'aa sana compared to other parts of the body kama miguuni na mikononi.

At first nilidhani huenda ni aina ya mafuta ninayoyatumia labda, maana Mimi si mpenzi wa kutumia lotion sana hasa katika mazingira ya joto. Nimebadilisha sana mafuta lakini wapi! Ndo Kwanza sura inazidi kutakata mpaka watu wanaonizunguka wanahisi maybe natumia mkorogo but NO!

Sasa najiuliza ngozi yangu inaweza kuwa na shida gani? Je ni muhimu labda kwenda kumuona daktari wa ngozi? Maana hii hali siifurahii kwa kweli.

Nawasilisha kwenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Heading ungeandika SURA/USO WANGU na sio ngozi yangu.

Halafu kinachokutatiza ni nini hasa, rangi, mng'ao ama muonekano! Kama uso unang'aa sana kama kioo basi ni tatizo la kiafya.

Pia, haiwezekani kunawiri uso tuu sehemu zingine usinawiri, unless huu uzi uwe ni tangazo.

Unforgetable
 
Sina haja ya kufanya tangazo mkuu! Kama huwezi kushauri we pita kushoto tu si lazima uchangie,

Hilo swali liko wazi na linaeleweka.
 
Mkuu pole sana.. kama hu apply kitu chochote extra, sioni sababu ya wewe kuishi kwa wasi wasi. After all mbona iko sawa! ni hali ya hewa bana mbona kuna maeneo mengine ya mwili wako yako meupe sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unatumia mafuta gani, petroleum jelly? Ukinipa jawabu ya mafuta unayopaka usoni/ mwilini nitaweza kukupa jawabu..inawezekana virutubisho vya mafuta unayotumia vina react na sunlight.ndio vinaleta hiyo reaction.
Yeah product za mafuta nnazotumia ni hizo za petroleum jelly kama Bodyline, Vasseline, Sure n.k yaan hata nibadilishe aina ya mafuta bado sioni badiliko lolote mkuu!
 
Mkuu pole sana.. kama hu apply kitu chochote extra, sioni sababu ya wewe kuishi kwa wasi wasi. After all mbona iko sawa! ni hali ya hewa bana mbona kuna maeneo mengine ya mwili wako yako meupe sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wasiwasi lazima uwepo maana sioni kama ni hali ya kawaida mkuu, maeneo mengine ya mwili ambayo ni meupe zaidi ni yale yanayokuwa yamefunikwa muda mwingi kwa nguo na hio ndio sababu kuu ya kuwa meupe(kung'aa) zaidi!
 
Nawasalimu wanajamvi wote!

Niende moja kwa moja kwenye dhumuni la uzi huu, Mimi ni jinsia KE na kuna kitu kimoja kinachonitatiza kuhusu ngozi yangu tangu nimeanza kujitambua katika kukua kwangu. Yaani mtu akiniangalia Usoni ninang'aa sana compared to other parts of the body kama miguuni na mikononi.

At first nilidhani huenda ni aina ya mafuta ninayoyatumia labda, maana Mimi si mpenzi wa kutumia lotion sana hasa katika mazingira ya joto. Nimebadilisha sana mafuta lakini wapi! Ndo Kwanza sura inazidi kutakata mpaka watu wanaonizunguka wanahisi maybe natumia mkorogo but NO!

Sasa najiuliza ngozi yangu inaweza kuwa na shida gani? Je ni muhimu labda kwenda kumuona daktari wa ngozi? Maana hii hali siifurahii kwa kweli.

Nawasilisha kwenu.

Una mimba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom