Naomba kujuzwa namna ya kuondoa madoa kwenye nguo

Islam005

JF-Expert Member
Nov 1, 2008
3,288
3,320
Wadau habari, kuna nguo niliimwagia wine na nyingine nilikuwa nakata nyama ikadondokea damu sasa sikuzifua muda huo huo na baadaYe yale madoa hayatoki tena hata nikiloweka, nitumie nini?

Nguo bado ni mpya naona aibu kuzitupa.
 
1. Pasugue na kitunguu kilichokatwa Kisha fua na sabuni ya unga.

2. Pasugue na maji ya ndimu yaliyowekwa baking powder Kisha fua.

3. Paweke Colgate ikaukie, kesho yake fua na omo.

Zote zisiofanikiwa muone Mshana Jr
Thank me later.
 
1. Pasugue na kitunguu kilichokatwa Kisha fua na sabuni ya unga
2. Pasugue na maji ya ndimu yaliyowekwa baking powder Kisha fua.
3. Paweke Colgate ikaukie, kesho yake fua na omo.
Zote zisiofanikiwa muone Mshana Jr
Thank me later.
Duh haya nitajaribu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom