Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,498
- 9,279
UTAFITI:
Wasichana wanapojilinganisha uzuri & watu maarufu wanaowaona kwenye mitandao huwafanya kutojipenda & kupatwa na sonona(depression).
DALILI ZA SONONA
1. Kukosa raha, kushindwa kushiriki mambo ya kufurahisha, kupoteza uwezo wa kufurahia jambo, kukata tamaa, kujiona mwenye hatia, kukosa matumaini ya siku zijazo, mwili kuishiwa nguvu na kushindwa kujituma.
2. Dalili nyingine ni mtu kujiona hajafanya kitu cha maana, kujiona si wa maana na hana heshima.
Mwanamke wewe ni wa thamani kuliko kitu chochote, nguvu yako ni kusimama katika maamuzi yako na kuhakikisha huyumbi kwa njia moja au nyingine usiruhusu maisha yako yaongozwe na mtu mwingine wewe si mfungwa una haki ya kukataa na kukubali bila ya hofu wala woga...Jikubali