Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Hivi naomba kujuzwa faida za mwanaume kuvaa boxer na hasara za kutokuvaa kwa maana naona kama kero ukivaa inayotight dushe inabanwa sana korodani ndio usiseme ukivaa yakuachia space dushe...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Wakuu wana JF, Poleni kwa majuku ya kila siku. Naombeni ushauri wenu, nimehamia hapa DSM na kuanza maisha, takribani week imepita. Nilijibanza kwa ndugu sasa nimepata vyumba 2 ambavyo ndo...
1 Reactions
435 Replies
168K Views
Olives are a wonderful fruit native to Mediterranean Europe. They are also cultivated in many other regions of the world nowadays. Some of these including North and South America, South Africa...
4 Reactions
13 Replies
3K Views
Wife ngozi yake ni delicate sana. Vitu vya jamii ya chuma vinamdhuru kwa kuwashwa na kuota vipele. Poda yenyewe inamsababishia chunusi. Kwa sasa hatumii mafuta yoyote hasa usoni kwani ngozi yake...
2 Reactions
34 Replies
11K Views
Wadau wa JF Hamjamboni? Kwa muda mrefu nimejitahidi sana kuwa na muonekano wenye moustache bila mafanikio. Umri wangu kwa sasa unasonga mbele kwa kasi lakini sijona mafanikio yeyote zaidi ya...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Wakuu habari zenu Naomba ushauri ni body spray gani nzuri kwa mwanaume. Ahsanteni.
3 Reactions
47 Replies
12K Views
Samahani wadau wenzangu, natambua kuna uzi wa pafyumu mbalimbali humu lakini nilivyoupitia nimeona nyingi za mle ni bei kali. Wengine sisi walamba nyau kumudu ni kazi. Ombi langu kwenu ni aina...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mavazi ya juu ya mavazi ya kiume 5 ya kupendeza katika Mahojiano ya Kazi Ili kuwa na maoni mazuri, lakini angalia mtaalamu na mtindo, angalia mavazi haya ya mavazi ya wanaume ambayo ni bora kwa...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
If you struggle with skin discolorations, blemishes, they can be evened out, here's how to do it naturally. A lot of ladies feel the need to For some, the desire to have even skin tone is a...
1 Reactions
15 Replies
4K Views
Habari zenu? Mashoga wengi huku Temeke wanavaa pensi za jinzi . Mara nyingi hizi pensi zao zinakuwa na sifa zifuatazo; - Fupi (hazivuki magoti) - Zinabana mwili - Zimetoboka au kuchanika...
19 Reactions
98 Replies
18K Views
Tango ni tunda lenye utajiri mkubwa sana wa Silicon na Sulphur ambazo huhitajika kuboresha afya ya ngozi, kucha na nywele. Ni tunda ambalo halipaswi kukosa ndani kwa mtu yeyote anayependa urembo!
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Tupia picha yoyote ya mavazi ya mwanaume katika muonekano wa kisasa hasa mavazi ya ofisini au katika occasions maalumu Mimi naanza na hii
2 Reactions
45 Replies
17K Views
Wakuu Nimeacha Kidogo mazoezi ya Kukimbia kwani Yanakondesha sana na Sasa nataka Nijaze Mikono, Six packs na Miguu. Mtu unanunua saa ya 700,000 halafu unapunguza Mkanda wake wa Silver siku Mmoja...
1 Reactions
26 Replies
9K Views
Kam uzi unavojielez nimetokea kuvutiw na tatoo na nahitaj kuchora iwe simple simple tu nilikua nahitaj kujua maeneo gan nawez kupat mchoraj mi nip kimara na gharam zake zikoje zikoje
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Naomba kufahamu kuwa ni kweli kuna sabuni ya maji ya kuogea? Kama ipo je unaitumiaje kuogea? Unajipaka, unajimiminia au unachanganya ndani ya maji? Kama unatumia Bomba la mvua la kuogea inakuaje...
2 Reactions
128 Replies
28K Views
Kuna pamba unaziona mtu kavaa town unajiuliza hivi wanazitoa wapi? Mfano mimi natafuta full jeans nyeusi nimeulizia nimeshindwa ukiingia ebay manguo mabayaaaa, huwa naopti mtumba grade 1 nawapa...
0 Reactions
35 Replies
11K Views
Mimi ni mrefu,handsome,nina asili ya ushombe flani hivi,mweupe ila sio body builder nivaage nguo gani niwe much attractive comment yoyote ile ambayo mtu mwenye sifa hizo hua anapendeza sana...
0 Reactions
55 Replies
31K Views
  • Redirect
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza napenda kuvaa napenda kupendeza namtafuta designer humu jf awe ananisaidia kupangilia nguo zangu ili nipendeze karibuni.
0 Reactions
Replies
Views
Habari za midaa hii? Nina swali kidogo kwenu dada zangu, Je nina mwanaume gani alikwambia anapenda/ama anapendezwa na nitakavyoviorodhesha? Kutoga masikio zaidi ya tundu moja, Kutoga pua, Kutoga...
3 Reactions
44 Replies
3K Views
Back
Top Bottom