Nahitaji Manukato wadau

braity

JF-Expert Member
May 24, 2020
354
443
Samahani wadau wenzangu, natambua kuna uzi wa pafyumu mbalimbali humu lakini nilivyoupitia nimeona nyingi za mle ni bei kali. Wengine sisi walamba nyau kumudu ni kazi.

Ombi langu kwenu ni aina gani ya pafyumu kwa mwanaume kijana isiyozidi elfu 15 au 20 angalau ina uzuri fulani naweza nikanukia vizuri mbele ya Umma?
 
Kaaa humoo japoo Ni beii
IMG-20210926-WA0016.jpg
 
Naona bora ukachukue zile za kupima..Zinanukia vizuri, quality na zinanukia muda mrefu..

Kuliko kuchukua perfume ya 5k or 10k but hainukii muda mrefu na kuwa too common.
 
Back
Top Bottom