Wakuu nataka Nijazie Fasta Kuanzia Kigimbi, Six packs na Mikono Supplement gani nzuri?

Troll JF

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
7,804
12,234
Wakuu Nimeacha Kidogo mazoezi ya Kukimbia kwani Yanakondesha sana na Sasa nataka Nijaze Mikono, Six packs na Miguu. Mtu unanunua saa ya 700,000 halafu unapunguza Mkanda wake wa Silver siku Mmoja mdada Fulani wa Jamii Forums alifaidi kwa Yale mabaki ya Mkanda aliweza Kutengeneza Mkufu na Hereni nzuri za Silver.

Je food supliment gani Nizitumie ili nipate mafanikio?

Vipi Bei zake?
Side effects?

Wewe Unanishaurije? hata kama nimeamua Kutumia Nitaheshimu Mawazo ya Watu wengine pia juu ya Faida na Hasara za Supplements!
 
  • Thanks
Reactions: SIM

Mkuu wakikupatia jibu naomba nitag nami nahitaji hiyo mambo
 
Tehe tehe tehe embu picha yako ya sasa kwanza kabla hatujakushauri
 
Wakuu Nimeacha Kidogo mazoezi ya Kukimbia kwani Yanakondesha sana na Sasa nataka Nijaze Mikono, Six packs na Miguu. Mtu unanunua saa ya 700,000 halafu unapunguza Mkanda wake wa Silver siku Mmoja mdada Fulani wa Jamii Forums alifaidi kwa Yale mabaki ya Mkanda aliweza Kutengeneza Mkufu na Hereni nzuri za Silver.

Je food supliment gani Nizitumie ili nipate mafanikio?

Vipi Bei zake?
Side effects?

Wewe Unanishaurije? hata kama nimeamua Kutumia Nitaheshimu Mawazo ya Watu wengine pia juu ya Faida na Hasara za Supplements!
Jinga Sana wewe bora umepewa Ban.
Unakera
 
Hii ya mazoezi ya kukimbia kukondesha ndio mara ya kwanza naisikia kwako toka nizaliwe.

Kwamba ukiwa unafanya mazoezi ya kukimbia unakonda sana? Toka lini mazoezi yakakondesha mtu?
 
Google kitu kinaitwa (whey protein)
Ni ya USA unaweza icheki pia YouTube ila ukiitaka hapa bongo nichek utojutia
e8878ff8f2e985dd85467dd4675cae8a.jpg

iPhone 7 /A1786)
 
  • Thanks
Reactions: SIM
Google kitu kinaitwa (whey protein)
Ni ya USA unaweza icheki pia YouTube ila ukiitaka hapa bongo nichek utojutia
e8878ff8f2e985dd85467dd4675cae8a.jpg

iPhone 7 /A1786)
Bei gani hiyo mkuu? Na natakiwa kutumia chupa ngapi? na je nikishatumia na kupata matokeo ndio basi au nitatakiwa kutumia kila mara?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom