Arabian queen
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 2,557
- 4,824
Hali zenu.
Jukwaa hili katika thread hii ntakua napost urembo wa asili ambao natumia na naendelea kutumia na pia ukanisaidia,hope pia na nyinyi utawasaidia,na ningeomba mirejesho ili nijue maendeleo na imewasaidia kwa kiwango gani as how imenisaidia mm,i hope tutaungana mkono na kua kitu kimoja.leme start...
Namna ya kutengeneza bleach ya asili
Mahitaji
Chukua ukwaju kias unachopenda changanya na ayo maji kias,sio sanaaa kias kwamba ikawa rojo jepes.changanya ukwaju na maji kias alafu wacha kwa mda wa nusu saa.
Baada ya hio nusu saa anza kuufikichafikicha mpk upate rojo zito,baada ya hapo tia asali kias pia.Alaf koroga tena,changanya vizuri tayar kwa matumizi.
Osha uso wako vizuri ,alaf paka huo mchanganyiko usoni mpk ukauke.
ukishakauka osha uso wako,paka ur favourate cream,huu mchanganyiko unakaa katika friji hata for one month.
Huu mchanganyiko ni very very best na matokeo utaanza kuyaona dakika ileile baada ya kuosha uso.mm napendelea kutumia kila baada ya siku nne,ni nzuri sana sana inabadilisha muonekano wako na kuonekana wa asili zaid na wa kungara.
Inasaidia kusafisha uso complitely.
msisahau mrejesho,
love u all.

- Ukwaju
- asali
- rose water(kama huna hata maji ya kawaida yanafaa)