Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,052
- 12,906
Kina dada naombeni msaada wenu, chupi nzuri za kike za pamba nazipata wapi hapa mjini Daslam.
Nataka kumnunulia mpenzi wangu chupi nzuri na bora kabisa ziwe zinanitunzia asali yangu.
Natanguliza shukrani.
Nataka kumnunulia mpenzi wangu chupi nzuri na bora kabisa ziwe zinanitunzia asali yangu.
Natanguliza shukrani.