Mnaowafanyia makeup mabibi harusi kueni na huruma kidogo!

Minah24

JF-Expert Member
Dec 26, 2017
1,043
1,931
Unawezaje kumfanyia mtu makeup ya hovyo hovyo kwenye harusi yake jamani siku muhimu ambayo anatakiwa kupendezaa haswaaaa hadi muoaji akimuona anamsahau

Mabibi harusi weusi mnawakoseaga sana makeup, kama hafai kupaka hayo madude kwanini usimwambie tu au umpake kidogo

Jumapili nimeenda harusini hadi nimemhurumia dada wawatu, mwenyewe mweusi kapigwa foundation mpaka kawa mweupe ,mirangi ya machoni sasa khaaa muwage na huruma jamani

Bwana harusi hakuwa na raha kabisa nahisi alitamani muda uende haraka atoke pale

Msitupatishe dhambi za kucheka watu kwenye sherehe zao

838461d72e5065726be74bbd1c0ef6c4.jpg

Msiwafanyie hivi (uyo wa kwenye picha ni mfano )
 
Unawezaje kumfanyia mtu makeup ya hovyo hovyo kwenye harusi yake
Jomoniiíiii

Cku muhimu ambayo anatakiwa kupendezaa haswaaaa hadi muoaji akimuona anamsahau

Mabibi harusi weuc mnawakoseaga Sana makeup, kama hafai kupaka hayo madude kwann ucmwambie tu Au umpake kidogo

Jumapl nimeenda harusini hadi nimemhurumia dada wawatu, mwenyewe mweuc kapigwa foundation mpk kawa mweupe ,mirangi ya machoni Sasa khaaa muwage na huruma jamani

Bwana haruc hakuwa na raha kabisa naic alitaman muda Uende haraka atoke pale

Msitupatishe dhambi za kucheka watu kwenye sherehe zao

838461d72e5065726be74bbd1c0ef6c4.jpg

Msiwafanyie hivi (uyo wa kwenye picha ni mfano )
Makinika na kumpeleka mchumba wako saluni ya mchepuko
 
Hapo kosa huwa linakuwa la mpambaji wa huyo bi harusi kutokujua mteja wake anastahili makeup ya aina gani ili apendeze.

Inapotokea mpambaji hajui mpambwaji anastahili nini ili apendeze hayo ndio huwa yanatokea sasa.

Ila makeup hizi. Lol. Hatari
 
Bora kumkatalia mtu kama huna Makeup zitakazo mfaa,kuliko kupokea hela yake Halafu umfanye kichekesho

Halafu kasimama ukumbini mc anakazana kusema "Amependeza hajapendezaaa"
Watu: kapendezaaaa!
 
Bora kumkatalia mtu kama huna Makeup zitakazo mfaa,kuliko kupokea hela yake Halafu umfanye kichekesho

Halafu kasimama ukumbini mc anakazana kusema "Amependeza hajapendezaaa"
Watu: kapendezaaaa!
kapendezaaaaaaaaaaa.....................na vigelegele vinafuata.................hahahahahaha mungu anawaona
 
Niliwahi kufuta make up baada ya kumalizwa tu,yaani nilijiona kabisaaa nmekuwa kama jini nkamwambia Dada hapana nikachukua maji nkaosha uso halaf nkapaka poda yangu nkasepa
Watu walibaki wananishangaa
 
Bora kumkatalia mtu kama huna Makeup zitakazo mfaa,kuliko kupokea hela yake Halafu umfanye kichekesho

Halafu kasimama ukumbini mc anakazana kusema "Amependeza hajapendezaaa"
Watu: kapendezaaaa!
Yaani wacha kabisa. Si unajua tena hela huwa haikataliwi. Hapo Unakuta muonekano wa bi harusi ameachwa sana mbali na waalikwa. Teh.

Kwa hili wapambaji inabidi waliangalie sana aiseee.
 
wengine mna sura mbaya mpaka make up zinawakataa

wengine ni wazuri mpaka make up haiwastahili

Hata mtu awe na makovu ya kuungua na moto usoni akipata mtaalam wa makeup, utamsahau kabisaaa

Tatizo cyo Sura buanaa ni makeup wanazowapaka.
 
Back
Top Bottom