Wanawake wengine wanawezaje kumaintain miili yao baada ya kujifungua?

Evelyn Salt

JF-Expert Member
Jan 5, 2012
63,592
112,646
Huwa najiuliza wanawezaje? Wakati wa ujauzito mwili upo vile vile, akijifungua mwili upo vile vile, je hawali sana? Kama hawali mtoto anapaje maziwa?

Mfano Hamisa mobeto, napenda jinsi alivomaintain mwili, msaada tafadhali mwenzenu nmekua na mkono kama wa John Cena, sijui muda unavoenda nitakua kama sim tank hata sielewi
Nb: mazoezi yawe ushauri wa mwisho jamani make ni kipaji, nami sina hicho kipaji. Picha za before and after zinakuja.....

images (7).jpeg

Mobeto.jpg
 
kula tu vizuri wkati wa kunyonyesha mtoto akishaanza kuchanganya vyakula anza kula vyakula visivyo na wanga na mafuta kwa wingi,,,
 
sawa nakula sana yani nakula ile mbaya, tatizo mwili nao huooo, wengine huwa hawali nataka kujua hapo kwanini hawaongezeki
 
kwanini ule "ile mbaya" kula kiasi bwana,,mimi nikiwa mzazi sinenepi japo maza mkwe anajituma lakini nazani heka heka za mtoto zinanifanya nisnenepe kiivo...ila nikitoka ndo naanza kunenepa nikishaona ivo naanza kubadili mfumo wa kula
 
Shost aliniambia yeye alikuwa anakula nyama mboga na matunda nafaka ni toast tu, asubuhi toast yai la kuchemsha na matunda kubao

Saa nne oaks la kuku wa kuchoma na mboga

Mchana supu toast kipande kimoja na matunda

Saa kumi toast na parachichi

Jioni supu tena
 
njaa napata njaa kila dakika, na nikihisi njaa sitaki kuchelewa hata dakika, mwanzo nilijibana mwili ukawa poa tatizo Maziwa nayo ya mawazo nmeamua kula nimefumuka sipendi unene, nifanyeje nileje.
 
Shost aliniambia yeye alikuwa anakula nyama mboga na matunda nafaka ni toast tu, asubuhi toast yai la kuchemsha na matunda kubao

Saa nne oaks la kuku wa kuchoma na mboga

Mchana supu toast kipande kimoja na matunda

Saa kumi toast na parachichi

Jioni supu tena
Nikila mbogamboga na matunda tu nitapata maziwa?
 
Ukiiendekeza misosi ile ya uzazi hao naona wanajibana Ila Mimi Siwezi kujifungua nusu ya kufa alafu nijibane kulaa huwaa nakulaaa Hahahaaa
 
Mazoezi pia muhimu hata kama nusu saa kwa siku hadi saa moja, lakini ES na mazoezi mbali mbali. Ila kuna watu wana bahati zao unakuta mtu anakwambia ana watoto wawili mpaka wanne lakini hana dalili ya kuonyesha kama ana mtoto hata mmoja. Hana tumbo na ule unene unaoanza kuharibu shape yake.
 
Mie nlikua vizuri wiki mbili za mwanzo yani mwili ulikotokea sijui.
Mazoezi hapo dah yani sijiwezi kabisa kwenye mazoezi
 
Mazoezi pia muhimu hata kama nusu saa kwa siku hadi saa moja, lakini ES na mazoezi mbali mbali. Ila kuna watu wana bahati zao unakuta mtu anakwambia ana watoto wawili mpaka wanne lakini hana dalili ya kuonyesha kama ana mtoto hata mmoja. Hana tumbo na ule unene unaoanza kuharibu shape yake.
Yaap ni kweli Nina mdogo wangu alipata mimba form three Duh yaani km hajazaa Hakuna mazoez Wala diet tumbo flat Sasa karud shule.
 
Back
Top Bottom