Kuna body splash moja ya kiume inaitwa sweet desire ni kali kinoma..sh 10000Za kiume
Shalis
Kuna 15.000 kwa ndogo na 25.000 kubwa.Hii bei gani mkuu
kuna romance inauzwa 25,000 ni noma sanaMi natumia Romance 6,000/=, issey miyake ndogo 10,000/=
Tafuta hii hapa, huyojutia.Wadau! Naomba kujua ni perfumes gani nzuri za bei kuanzia 15000-30000, yawe produced in Europe not Asia.
"Blue Seduction" ya Antonio Banderas My All time favorite Perfume!Perfume ya Antonio Banderas inaitwaje? Nimeisha isahau jina nilinunua kwenye duty free shop na sikujuta, Ila sio ya bei hiyo ya 20'000/- yenyewe ni USD 125/-