dubu
JF-Expert Member
- Oct 18, 2011
- 3,496
- 3,461
Heshima wakuu,
Nachukua nafasi hii kuwashukuru wale wote waliacha kuvaa vimawigi. Kwanza mlikuwa hampendezi, hata sijui nani alikuwa kawafundisha.
Baada ya kuachana na mawigi, wengi huwa mnapendeza sana. Nmefurahi kuona leo mwendokasi hamna hata mmoja aliyevaa wigi.
Hongera sana. Msirudie tena kuvaa hayo mashetani. Na Mungu awasaidie.