Msaada wa kurefusha ndevu

Jun 3, 2013
14
6
Napenda kutumia nafasi hii kuwapa salam wote ninyi wahangaikaji ndani ya uzini huu special ,asallam,samahani naomba aliye na ujuz wa wakurefusha ndevu.ziwe ndefuu na Nene nyeusi tafadhil sana nataka kama za rick rose mwenye utaalam sana naomba nijuze hata kwa PM
 
Mafuta ya mnyonyo yanakufaa sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom