Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Habari zetu warembo na watanashati. Hii tabia imeota mizizi sasa sijui kwa nini wanawake tunakuwa hivi? tena siku hizi vipodozi vya kubadilisha rangi vinatangazwa hadharani kabisa afadhali siku...
14 Reactions
174 Replies
22K Views
Salaam, Shuka langu Jeupe lilipata bloodstain usiku, asubuhi nikaliloweka na sabuni ya Doffi, nikalifua jioni, Lakini madoa hayajatoka. Je nawezaje kutoa hayo madoa..? Asante
0 Reactions
33 Replies
10K Views
Kama kichwa cha habari kilivyo hapo juu mi ni binti ila katika ukuaji bahati mbaya nilijikuta nimeshaurika na kutumia lotion za kubadili mwili.Ila tangu nimejitambua kwa kweli najichukia mno si...
2 Reactions
62 Replies
46K Views
KUJIPENDEZESHA SAWA, KUJIHARIBU HAPANA ! Unaendeleaje rafiki? Karibu kwenye somo la leo la kukushauri kujipendezesha na kukushauri kutokujiharibu kwa kupitia vipodozi unavyotumia. Ni haki na ni...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
unakutana na kimwanaume legevu hata akikupa mkono unahisi umepewa mkono na mwanamke mwenzio. Mwanaume unakuwa na ngozi kama ya esha buheti huoni hata aibu kuwa laini laini kiivyo,mwanaume hutaki...
8 Reactions
125 Replies
13K Views
Waungwana nawasalim wote, nikiwa dada ninaependa urembo, nimeona si vyema kuacha kuwajuza hili wapenda urembo wenzangu. ni kuhusu grycelin Ya Zambia, kiukweli ninawashauri wote mnaopenda ngozi...
3 Reactions
52 Replies
12K Views
HII NDO CREAM BORA KWA KUNG'ARISHA,KOSOFTISHA,NA KUTAKATISHA NGOZI KIASILI Hii cream ni[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] Unaambiwa kwa hii hadi nimenyoosha mkono yaani ni...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Habarini, Nimekua nikisumbuliwa na magaga kwa.muda Sasa..nimesugua na msasa wapi ..nikasugua na jiwe Bado Hali ni.ileile. Kuna muda yanauma kabisa especially nikishasugua na jiwe. Je Kuna Dawa...
1 Reactions
41 Replies
6K Views
Wana JF msaada tafadhali,,,kwa anayeifahamu lotion ya KERI SHEA BUTTER naomba kujua kama ni nzuri kwa kung'arisha ngozi na kufanya mwili kuwa na rangi moja. Na je inauzwaje?
1 Reactions
3 Replies
6K Views
Hawa ni wanawake wasomi wakiwakilisaha Zanzibar miaka ya 60,umejionea vipi wamevaa,nini kimetokea kwa wanawake wa kizanzibari kuanza kujivalisha mishungi,!!? ukimwanglia Makamo wa raisi Mh Suluhu...
4 Reactions
92 Replies
16K Views
Habarini! M/Mungu aendelee kuwajaalia afya njema! Naomba kujua kuhusu uwepo wa spray ya kusafishia masofa. Inaitwaje na gharama zake zikoje? Ahsanteni
2 Reactions
45 Replies
13K Views
Naombeni ushauri mpenzi wangu ametoka rashes fulani kama za baridi baridi anasema kuna mafuta alitumia yamemuharibu msaada wenu tafadhari ngozi yake irudi kama awali!! Nakaribisha comment mapovu...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Niaje wakuu hivi yale mafuta wanayopakaga usoni kwenye scrub yanaitwaje....? nna shida nayo sana mwenye kujua msaada na hata ukijua bei zake itakua poa sana msaada wakuu.
0 Reactions
12 Replies
8K Views
Hivi jamani dada zangu hizi rasta za mnazosuka mistari ya twende kilioni style huwa zinabadilishwa baada ya mda gani. Nauliza hivi kwa sababu wengi ninaopishana nao huwa unakuta zinatoa uvundo...
2 Reactions
26 Replies
21K Views
Mlango wa mbele wa nyumba unakuwa katikati ya nyumba na ndio unaowakilisha mvuto wa nyumba kwa hivyo muhimu uwe maridadi. Wengine wanapendelea kuweka glass panels kwenye mlango wa mbele kama hivi...
0 Reactions
17 Replies
59K Views
Salaam Jf, Kama title inavyojieleza huu ni Uzi maalum kwaajili wa mishono ya watoto wa kike.
2 Reactions
0 Replies
3K Views
Kama kichwa cha habari kisemavyo niko na shida ya makovu ya kuungua na moto mwilini mwangu japo si mengi ila huwa yananikosesha amani so nahitaji msaada mtu anayefahamu kitu nachoweza tumia...
2 Reactions
11 Replies
7K Views
He is pursued by people that find him sexually attractive. Is able to bypass the talking phase entirely. Sex is offered to him. His appearance will be talked about in a group setting right in...
4 Reactions
18 Replies
4K Views
Habari wana JamiiForums. Eti ni kwel mtu akiwa mnene sanaa na akaja kupungua uzito kwa haraka kama alikuwa mfupi? Huongezeka urefu je ni kwel au ni uwongo? Kama ni kwel nianzee kula ovyo...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Back
Top Bottom